Recently Featured | Most Discussed | Most Recent | Most Responded | Most Viewed | Top Favorites | Top Rated | TV Serials | Trailers | Recently Watched
Athari za Mafuriko
This ad will close in 15 seconds
Rate:

ratings
Views:
1,062
From : NTVKenya
Added: Nov 4, 2009
http://www.ntv.co.ke Zaidi ya Watu 5,000 wamepoteza makao kufuatia mafuriko huko Garsen. Waathiriwa wanaendelea kuhamia maeneo ya nyanda za juu huku ikitabiriwa kuwa mvua kubwa itaendelea kunyesha katika siku chache zijazo. Maeneo yaliyoathiriwa zaidi na ambako kunahofiwa kutokea kwa mkurupuko wa maradhi ni Msumarini, Kazduyuni, Tarasaa na Kurawa. Aidha Gharama za uchukuzi zimeongezeka kufuatia kusombwa kwa daraja la Kanagoni.
Category : News

Tags :

Video Categories:
Also Try: