Recently Featured | Most Discussed | Most Recent | Most Responded | Most Viewed | Top Favorites | Top Rated | TV Serials | Trailers | Recently Watched
Gumzo Mitaani: Suala la VW Passat
This ad will close in 15 seconds
Rate:

1 ratings
Views:
2,255
From : NTVKenya
Added: Nov 4, 2009
http://www.ntv.co.ke Muda uliopewa mawaziri wawe wamerejesha magari yao ya kibwanyenye na kuanza kutumia magari aina ya VW Passat umemalizika leo (Jumatano) huku baadhi yao wakiwa bado wanasitasita. Suali ni je, watakaokataa kabisa kurejesha magari hayo ya kifahari watachukuliwa hatua chini ya sheria gani? Hebu tupate maoni ya baadhi ya wananchi kuhusu suala hilo katika kikao cha Gumzo Mitaani.
Category : News

Related Videos

Video Categories:
Also Try: