Recently Featured | Most Discussed | Most Recent | Most Responded | Most Viewed | Top Favorites | Top Rated | TV Serials | Trailers | Recently Watched
Ni Amos Wako
This ad will close in 15 seconds
Rate:

ratings
Views:
1,272
From : NTVKenya
Added: Nov 4, 2009
http://www.ntv.co.ke Mkuu wa sheria Amos Wako amekiri kuwa ndiye afisa mkuu wa serikali aliyepokonywa cheti cha kusafiria Marekani, kwa madai ya kuwa kizingiti katika harakati za mageuzi nchini Kenya. Lakini Wako ameapa kutafuta ushauri wa kisheria nchini Marekani ili kubainisha iwapo ataishtaki serikali ya Marekani kwa kumpokonya Visa yake na kumtuhumu kama pingamizi kwa mabadiliko ya utawala hapa Kenya. Francis Mutegi ana mengi.
Category : News

Related Videos

Video Categories:
Also Try: