Recently Featured | Most Discussed | Most Recent | Most Responded | Most Viewed | Top Favorites | Top Rated | TV Serials | Trailers | Recently Watched
Aliyefiwa na jamaa aahidi Ocampo ushahidi
This ad will close in 15 seconds
Rate:

ratings
Views:
1,514
From : NTVKenya
Added: Nov 7, 2009
http://www.ntv.co.ke Iwapo Louis Moreno Ocampo atarejea kenya mnamo Disemba alivyoahidi, basi ana idadi kubwa ya mashahidi na waathiriwa wa kutembelea. Pengine mmoja wao atakuwa Benard Ndege, aliyetambulika kote duniani alipowapoteza jamaa kumi na mmoja wa famila yake mjini Naivasha. Wake zake wawili na watoto tisa walichomwa ndani ya chumba cha kukodisha katika hatua iliyodaiwa kuwa ya kulipiza kisasi, wakati wa machafuko hayo. Sasa Ndege anasema yuko tayari kutoa ushahidi popote pale.
Category : News

Video Categories:
Also Try: